Kaunti

AMINA MNYAZI AWATAKA WAKENYA KUENDELEA KUPINGA UHALALISHAJI WA MAPENZI YA WATU WA JINSIA MOJA

Mbuge wa Malindi kauntI ya Kilifi Amina Mnyazi amesema anapinga mapenzi ya watu wa jinsia moja nchini. Akizungumza bungeni alipokuwa akichangia muswada ambao ulikuwa umewasilishwa bungeni kupinga uhalalishaji wa Ushoga na Usagaji nchini, Mnyazi amesema mila na tamaduni za kiafrika, dini na katiba ya nchi haziruhusu Mapenzi ya jinsia Moja na ni suala ambalo linapaswa […]

AMINA MNYAZI AWATAKA WAKENYA KUENDELEA KUPINGA UHALALISHAJI WA MAPENZI YA WATU WA JINSIA MOJA Read More »

MRADI WA SAN MARKO ULIOKO NGOMENI KAUNTI YA KILIFI KUBORESHA UHUSIANO MWEMA BAINA YA KENYA NA ITALIA

Serikali kuu imesema ipo haja ya wakenya kunufaika na mradi wa serikali ya Italia wa San Marko, ulioko katika eneo la Ngomeni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kulingana na Waziri wa ulinzi nchini Aden Duale, licha ya mradi huo kuboresha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili, juhudi zaidi zinapaswa kuwekwa ili kuhakikisha wanafunzi

MRADI WA SAN MARKO ULIOKO NGOMENI KAUNTI YA KILIFI KUBORESHA UHUSIANO MWEMA BAINA YA KENYA NA ITALIA Read More »

KELLO HARSAMA NA GAVANA ISSA ABDALL TIMAMY WAZINDUA MBEGU MPYA ZA KOROSHO

Taasisi ya utafiti wa kilimo na ufugaji KALRO imezindua aina mpya ya mbegu za Korosho ambazo zina uwezo wa kutoa mazao mengi ikilinganishwa na mbegu za kawaida. Aina hizo nne ni pamoja na K-Korosho 75, 81, 82 na K-Korosho 100. Kulingana na KALRO, mbegu hizi mpya zina uwezo wa kustahimili kiangazi na pia mmea wake

KELLO HARSAMA NA GAVANA ISSA ABDALL TIMAMY WAZINDUA MBEGU MPYA ZA KOROSHO Read More »