WADAU WA ELIMU WAHIMIZA MAKUZI YA TALANTA CHANGA
Naibu katibu mkuu wa Kuppet katika kaunti ya Kilifi bwana Oppolo K’opollo amewahimiza wazazi kusaidia wanao kukuza talanta katika umri mchanga. Oppolo amesema kwamba katika cha michezo ya shule za msingi lakini pia za upili ndio kipindi ambacho talanta za vijana hugunduliwa na kuna urahisi wa mchezaji kuanza kujenga kipaji chake. Katibu huyo amewashauri wazazi […]
WADAU WA ELIMU WAHIMIZA MAKUZI YA TALANTA CHANGA Read More »



