Kaunti

WAZAZI NA WALIMU WAHIMIZWA KUPIGA JEKI TALANTA ZA WATOTO WAO

Wito umetolewa kwa wazazi kuwahimiza watoto wao kuzingatia ukuzaji wa Talanta zao kama njia moja ya ufanisi wa maisha yao ya baadaye. Akizungumza na Tama La spoti Bwana Mcdonald Mzungu ambaye ni katibu mkuu wa michezo ya shule za upili katika gatuzi la Kilifi ameshauri wazazi na walimu kuwahimiza wanao kuzingatia michezo ambayo pia ni […]

WAZAZI NA WALIMU WAHIMIZWA KUPIGA JEKI TALANTA ZA WATOTO WAO Read More »

PETER MOLE YUPO SOKONI BAADA YA KUACHANA NA BEACH BAY

Mkufunzi wa klabu ya Beach bay Peter Mole amethibitisha kwamba ameachana rasmi na klabu hiyo inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa kutokana na kutoelewana baina ya uongozi wa klabu hiyo pamoja na mgawanyiko ulioko miongoni mwa wachezaji. Amesema kwamba kwa sasa yupo huru kuungana na klabu mpya na wiki hii amehusishwa katika kuiongoza

PETER MOLE YUPO SOKONI BAADA YA KUACHANA NA BEACH BAY Read More »