ESSE AKIDA KUFANYA MASHINDANO YA SOKA KILA MWAKA KILIFI
Mchezaji wa timu ya taifa ya Harambe Starlets Essie Akida anasema kwamba mafanikio alopata kwenye soka si hapa nchini pekee bali hata kimataifa yanampa motisha wa kupenda kurudisha mkono kwajamii ilomkuza. Akida ambaye kwa sasa anachezea klabu ya PAOK Thessaloniki katika taifa la ugiriki ameyasema hayo baada ya kuandaa mashindano ya soka mwezi December mwaka […]
ESSE AKIDA KUFANYA MASHINDANO YA SOKA KILA MWAKA KILIFI Read More »



