Kaunti

MICHEZO IMESAIDIA PAKUBWA WAKATI WA LIKIZO – FKF

Visa vya vijana wenye umri mdogo kujihusisha na magenge ya uhalifu pamoja na utumizi wa mihadarati hasa kipindi cha likizo za Krismasi kutokana na vijana hao kuhusishwa sana katika michezo mbalimbali. Mwenyekiti wa FKF katika gatuzi la Kilifi Dickson Angore amesema kwamba vijana wengi walishirikishwa sana katika mashindano mbalimbali msimu huu ambao umetamatika huku akithibitisha […]

MICHEZO IMESAIDIA PAKUBWA WAKATI WA LIKIZO – FKF Read More »

SAMUEL TEMO KUJIUNGA NA MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY

Huenda Temo Samuel, mchezaji wa zamani wa klabu ya Furunzi Fc akajiunga na klabu ya Malindi Progressive Academy pindi tu atakapoachana na Mombasa Elites klabu inayoshiriki katika ligi ya Kitaifa ya Super League. Nyota huyo amekuwa akisusia kujihusisha tena na klabu  hiyo ya Mombasa kutokana na kile anachokitaja kuwa Mombasa Elites imeshindwa kutimiza makubaliano ikiwemo

SAMUEL TEMO KUJIUNGA NA MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY Read More »

BEACH BAY FC YALIA

Klabu ya Beach Bay inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi inalilia udhamini ili kufadhili mechi zake. Kulingana na MKufunzi James Mkutano ni kuwa ukata wa kifedha ni kati ya changamoto zinazowakabili kwa sasa jambo ambalo ana hisi limekuwa likivunja morale wachezaji wake. Mkutano ametuma wito

BEACH BAY FC YALIA Read More »