SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI YAAHIDI KUJENGA SOKO ENEO LA SOUTH B.
Serikali ya kaunti ya Nairobi itajenga soko jipya eneo la South B kaunti ya Nairobi, ili kuwaondoa wachuuzi ambao wamekuwa wakifanyia biashara zao kando kando mwa barabara. Ujenzi huo wa soko unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi milioni 350. Akihutubia wafanyabiashara katika eneo hilo, mwakilishi wadi hiyo ya South B, Waithera Chege amesema kuwa hatua hiyo […]
SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI YAAHIDI KUJENGA SOKO ENEO LA SOUTH B. Read More »



