Kaunti

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA.

Wanaharakati kaunti ya Mombasa wamenyooshea kidole cha lawama idara ya usalama kaunti hiyo, kwa madai ya kukiuka haki zao za kikatiba. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Zedekia Adika, wamelalamikia suala la maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi, hasa kila wakati wanapo wakamata wanaharakati hao. Akizungumza inje ya kituo cha Polisi cha Central kaunti ya Mombasa, […]

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA. Read More »

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO.

Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi, Getrude Mbeyu amewalaumu vijana kwa madai ya kushinikiza serikali kuendeleza visa vya utekaji nyara dhidi ya serikali ya Kitaifa. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari kaunti ya Kilifi, Mbeyu amesema hatua ya vijana kuchapishwa maandishi na picha zinazo ashiria vifo vya viongozi wakuu serikali, ilhali wangali, huathiri pakubwa

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO. Read More »

WAZAZI ENEO LA SABAKI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUPELEKA WANAO SHULENI.

Wazazi katika wadi ya Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamesisitizwa kuwapeleka wanao shuleni, muhula huu wa kwanza wa mwaka 2025. Naibu chifu wa eneo la Msabaha Anne Ziro, amewataka wazazi wanaokabiliwa na changamoto zinazo changia suala la wao kutowapeleka wanao shuleni, kufahamisha idara ya usalama eneo hilo. Anne amewashauri wazazi walio na

WAZAZI ENEO LA SABAKI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUPELEKA WANAO SHULENI. Read More »