MAJAJI SITA WALIOTEULIWA MIAKA MITATU ILIYOPITA KUAPISHWA
Rais William Ruto anatarajiwa kuwaapisha majaji wanne miongoni mwa majaji sita walioteuliwa miaka mitatu iliyopita baada ya kuwaidhinisha hapo jana. Kwenye hotuba yake ya kwanza kufuatia kuapishwa kwake kuwa rais wa taifa hili, Rais Ruto alihoji kuwa hafla hiyo ya kuapisha majaji hao itafanyika katika ikulu ya Nairobi. Majaji hao ni pamoja na Aggrey Muchelule, […]
MAJAJI SITA WALIOTEULIWA MIAKA MITATU ILIYOPITA KUAPISHWA Read More »



