Kaunti

MWENYEKITI WA NPSC ELIUD KINUTHIA AMPONGEZA RAIS WILLIAM RUTO

Hatua ya rais William Ruto kutia sahihi kanuni itakayomwezesha inspekta jenerali wa polisi kukadiria na kuelekeza matumizi ya fedha katika idara hiyo itaimarisha hali ya usalama nchini na kuinua hadhi ya maafisa wa polisi. Wachambuzi wa masuala ya uongozi wanasema kuwa hatua hiyo ambayo ilitarajiwa na watunzi wa katiba ilicheleweshwa kwa muda wa miaka 12. […]

MWENYEKITI WA NPSC ELIUD KINUTHIA AMPONGEZA RAIS WILLIAM RUTO Read More »

WENYEJI WA SAKA WANAHOFIA KUENDELEA KUVAMIWA NA VIBOKO

Wenyeji wa eneo la Saka kaunti ya Tana River wanahofia kuendelea kuvamiwa na viboko baada ya kijana mwenye umri wa miaka 16 kushambuliwa na kiboko na kuaga dunia. Marehemu Mohammed Abdi anadaiwa kushambuliwa na kiboko alipokuwa anachunga mifugo karibu na mto Tana. Akithibitisha kisa hicho chifu wa eneo hilo Mumina Harun amesema viboko wamekuwa wakitoka

WENYEJI WA SAKA WANAHOFIA KUENDELEA KUVAMIWA NA VIBOKO Read More »

MFUMO WA ELIMU WA CBC WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO MIONGONI MWA WENYEJI WA KILIFI

Baadhi ya wazazi kaunti ya Kilifi wanasema wangali wanaunga mkono mfumo wa elimu wa umilisi CBC na kuitaka serikali kuu kuundeleza licha ya changamoto mbalimbali kushuhudiwa katika kuufanikisha. Wazazi hao wakiongozwa na George Tune na Joseph Punga wamesema masomo ambayo yanafunzwa wanafunzi shuleni yanawawezesha kuwa na ujuzi zaidi ambao wanasema unawafaa hasa katika karne hii

MFUMO WA ELIMU WA CBC WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO MIONGONI MWA WENYEJI WA KILIFI Read More »