Kaunti

BAA LA NJAA LAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA MRIMA WA NDEGE KAUNTI YA KILIFI

Chifu wa eneo la Mrima wa Ndege wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi Samson Karisa anasema kuna haja ya msaada wa dharura wa chakula cha msaada kupelekewa wakazi wa sehemu hiyo. Kulingana na Karisa  wakazi wa sehemu hiyo wanaendelea kuteseka kutokana na njaa, kwasababu ya ukosefu wa chakula baada ya mvua kukosa kunyesha . Karisa […]

BAA LA NJAA LAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA MRIMA WA NDEGE KAUNTI YA KILIFI Read More »

ZAIDI YA WAFANYIKAZI HEWA 200 WASIMAMISHWA KAZI KAUNTI YA LAMU

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timamy amesema zaidi ya wafanyikazi hewa 200 kwenye serikali ya kaunti hiyo wamesimamishwa kazi. Amesema hatua hiyo inapania kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa serikali ya kaunti hiyo zinatumika katika masuala ambayo yatawanufaisha wenyeji ikiwemo miradi ya maendeleo. Kwa mujibu wa Gavana huyo a maafisa wa idara mbalimbali kwenye serikali

ZAIDI YA WAFANYIKAZI HEWA 200 WASIMAMISHWA KAZI KAUNTI YA LAMU Read More »

KALONZO MUSYOKA ATOA WITO KWA RAIS RUTO KUIPA IDARA YA MAHAKAMA FEDHA ZA KUTOSHA

Kinara wa chama cha WIPER Kalonzo Musyoka ametoa wito kwa Rais William Samoei Kipchirchir Arap Ruto kuipa idara ya mahakama fedha za kutosha ili kutekeleza majukumu yake bila changamoto zozote. Katika taarifa yake kwa wenyeji wa kaunti ya Mombasa kwenye hafla ya kuapishwa kwa gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir, amesema taifa la

KALONZO MUSYOKA ATOA WITO KWA RAIS RUTO KUIPA IDARA YA MAHAKAMA FEDHA ZA KUTOSHA Read More »