Kaunti

MAANDAMANO YA AMANI KUANDALIWA HADI KWENYE BANDARI YA MOMBASA

Mwenyekiti wa vuguvugu la First Action kaunti ya Mombasa Salim Karama amesema siku ya Jumatano wiki hii wataandaa maandamano ya amani hadi katika bandari ya Mombasa kufuatia agizo la rais William Samoei Kipchirchir Arap Ruto la kuregesha huduma za bandari kwenye bandari hiyo kutoka ile ya Naivasha. Karama amewataka wenyeji pamoja na wafanyabiashara kujitongeza kwa wingi siku […]

MAANDAMANO YA AMANI KUANDALIWA HADI KWENYE BANDARI YA MOMBASA Read More »

TEDDY MWAMBIRI NI MIONGONI MWA WANOWANIA WADHIFA WA USPIKA WA BUNGE LA KILIFI

Takribani watu 12 tayari wamewasilisha maombi yao ya kuwania wadhifa wa Uspika katika bunge la kaunti ya Kilifi. Kulingana na bunge hilo baadhi ya wale ambao wako kwenye kipute hicho ni aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Garashi Peter Ziro, Aliyekuwa mbunge wa Ganze Teddy Mwambire, James Charo Mulewa, Stanley Saburi, Carolyne A. Chilango, Paul Chivatsi

TEDDY MWAMBIRI NI MIONGONI MWA WANOWANIA WADHIFA WA USPIKA WA BUNGE LA KILIFI Read More »

UKOSEFU WA USHAHIDI WACHANGIA KWA KESI DHIDI YA MAUAJI WA WAZEE ENEO LA MALINDI KUCHUKUA MUDA ZAIDI

Idadi kubwa ya kesi dhidi ya mauaji ya wazee katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, zinadaiwa kukosa kuendelezwa mahakamani, kutokana na ukosefu wa ushahidi wa wale wanaotekeleza visa hivyo. Ni kuali ya viongozi wa jamii ya kimijikenda katika  muungano wa kitamaduni Malindi District Cultural Association (MADCA), ambao wamesema  licha ya baadhi ya wanajamii kufika

UKOSEFU WA USHAHIDI WACHANGIA KWA KESI DHIDI YA MAUAJI WA WAZEE ENEO LA MALINDI KUCHUKUA MUDA ZAIDI Read More »