JOHN KIPSIWA AWAHIMIZA WENYEJI WA TANA DELTA KUDUMISHA AMANI
Naibu kamishna kaunti wa Tana river, John Kipsiwa amewashinikiza wanajamii Tana delta kubuni sera za maelewano baina yao kwa minajili ya kudhibiti mizozo kati yao hasa wakulima na wafugaji. Akizungumza katika mkutano uliowaleta viongozi wa serikali kuu, serikali ya kaunti na mashirika mbalimbali, Kipsiwa amesema mizozo ya mara kwa mara baina ya wafugaji na wakulima […]
JOHN KIPSIWA AWAHIMIZA WENYEJI WA TANA DELTA KUDUMISHA AMANI Read More »



