Kaunti

WILLIAM SAMOEI KIPCHIRCHIR ARAP RUTO AMEAPISHWA KUWA RAIS WA TANO WA KENYA

Sasa ni rasmi kuwa rais wa tano wa Kenya ni William Samoei Kipchirchir Arap Ruto. Rais Ruto atakuwa rais wa tano wa Kenya baada ya kuapishwa rasmi mbele ya umma kwenye uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Rais Ruto amekabidhiwa zana za  utawala ambazo ni nakala ya katiba ya sasa na kitara cha kijeshi na rais […]

WILLIAM SAMOEI KIPCHIRCHIR ARAP RUTO AMEAPISHWA KUWA RAIS WA TANO WA KENYA Read More »

KIBIBI ALI AUNGA MKONO KAULI YA MAGOHA YA KUTAKA ADHABU YA KIBOKO IREJESHWE SHULENI

Mwenyekiti wa kundi la kutetea haki za wananwake na Watoto la Kilifi Mums  kaunti ya Kilifi Kibibi  Ali amesema anaunga mkono kauli ya waziri wa elimu nchini Prof. George Magoha ya adhabu ya kiboko kurejeshwa shuleni. Kibibi ambaye alikuwa akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu amesema hatua hiyo itasaidia kudhibiti visa vya watoto

KIBIBI ALI AUNGA MKONO KAULI YA MAGOHA YA KUTAKA ADHABU YA KIBOKO IREJESHWE SHULENI Read More »