Kaunti

GAVANA ACHANI AWATAKA WENYEJI KUTOKUBALI KUGAWANYWA

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahimiza wakazi wa Kaunti hiyo kutokubali kugawanywa Kwa misingi ya kikabila na dini. Akizungumza katika Wadi ya Vanga huko lunga lunga alipoongoza ufunguzi wa shule ya chekechea ya Umba, Achani amesema wakati wa siasa ulipita, hivyo ni wakati sasa wa wakaazi kuungana sawia na viongozi wao ili kuhakikisha miradi ya […]

GAVANA ACHANI AWATAKA WENYEJI KUTOKUBALI KUGAWANYWA Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YAOMBWA KUWAWEKA KWENYE MPANGO WA MALIPO WAKUNGA WA VIJININI

Serikali ya kaunti ya Kilifi imeombwa kuwaweka kwenye mpango wa malipo wakunga wa vijijini wanaotoa huduma muhimu kwa wanawake wajawazito mashinani. Kwa mujibu na Philomena John ambaye ni mkunga kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi, maeneo yaliyo mbali na hospitali wanawake wamekuwa wakitegemea huduma za haraka kutoka kwa wakunga. Philomena amesema hatua hiyo

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YAOMBWA KUWAWEKA KWENYE MPANGO WA MALIPO WAKUNGA WA VIJININI Read More »

UKATAJI WA MITI KIHOLELA INACHANGIA KUHARIBU MAZINGIRA KANDA YA PWANI

Ukataji miti kwa minajili ya kutengeneza makaa ili kujikimu kimaisha umetajwa kuchangia uharibifu wa mazingira ukanda huu wa pwani. Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi wa vijana katika baraza la wazee wa kaya ukanda wa pwani, Nguma Charo Kenga ambaye amesema ukataji huo wa miti unaharibu mazingira. Kenga amesema huenda vijana wengi wakakosa kukimu mahitaji

UKATAJI WA MITI KIHOLELA INACHANGIA KUHARIBU MAZINGIRA KANDA YA PWANI Read More »