KENAFF YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUJENGA BWAWA LA KUHIFADHI MAJI
Shirikisho la kitaifa la wakulima nchini (KENAFF) limeitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kujenga bwawa la kuhifadhi maji ya mto sabaki, ili yaweze kutumika katika kilimo. Mwenyekiti wa shirikisho hilo kaunti ya Kilifi Getrude Bahati, anadai maji ya mto huo ni raslimali muhimu inayoweza kutumika kufanikisha kilimo wakati wa ukame iwapo yatahifadhiwa. Bahati aidha amedokeza […]
KENAFF YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUJENGA BWAWA LA KUHIFADHI MAJI Read More »



