WAZAZI KAUNTI YA LAMU WADAIWA KUTELEKEZA JUKUMU LAO LA ULEZI.
Afisa wa kurekebisha tabia za watoto kwenye mahakama ya Mpeketoni kaunti ya Lamu Dhashrifa Mohammed, amesema wazazi wengi wametelekeza majukumu yao ya ulezi. Hii ni baada ya kukithiri kwa visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa watoto wenye umri mdogo, hali inayotajwa kusababishwa na malezi duni kutoka kwa wazazi wa watoto hao. Dhashrifa amewataka wazazi […]
WAZAZI KAUNTI YA LAMU WADAIWA KUTELEKEZA JUKUMU LAO LA ULEZI. Read More »



