WALEMAVU KAUNTI YA KILIFI WAWASILISHA KESI KATIKA MAHAKAMA YA MALINDI.
Watu wenye uatilifu eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wamewasilika kesi katika mahakama ya Malindi, kwa madai ya kukosa kuwakilishwa kikamilifu katika bunge jipya la kaunti ya Kilifi. Akidhibitisha hilo mwanaharakati wa kutetea haki za walemavu eneo hili Willy Mwangi, amesema kuwa licha ya walemavu kusajiwa katika vyama mbali mbali ya kitaifa eneo hili, […]
WALEMAVU KAUNTI YA KILIFI WAWASILISHA KESI KATIKA MAHAKAMA YA MALINDI. Read More »



