SHIRIKISHO LA KENAFF LAWAALIKA WAKULIMA KATIKA MAOENYESHO YA KILIMO KAUNTI YA KILIFI.
Wakilima pamoja na wakaazi wa kaunti ya Kilifi wametakiwa kujitokeza kwa wingi ili kupokeza mafunzo kuhusiana na masuala ya kilimo, katika maoenyesho ya kilimo yatakayofanyika katika uwanja wa Alaskan hapa mjini Malindi. Akitaoa taarifa hizo kwa wanahabari mwenyekiti wa shirikisho la wakulima kitaifa la KENAFAA Bi Gertrude Bahati, amesema kuwa wakulima wanapaswa kuhamasishwa kuhisiana na […]
SHIRIKISHO LA KENAFF LAWAALIKA WAKULIMA KATIKA MAOENYESHO YA KILIMO KAUNTI YA KILIFI. Read More »



