Kaunti

WENYEJI WA LUNGA LUNGA WAENDELEA KUKABILIWA NA BAA LA NJAA

Wakaazi wa Lunga lunga walioathirika na baa la njaa kaunti ya Kwale wamemtaka rais William Ruto kuwafikishia msaada wa chakula katika eneo hilo. Wakaazi hao kutoka eneo la Mwereni wamedai hali hiyo imewalazimu wanafunzi kusalia nyumbani kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Wakiongozwa na Kalama Nyawa, wakaazi hao wamesema hawajafanikiwa kupata mazao kufuatia ukosefu wa

WENYEJI WA LUNGA LUNGA WAENDELEA KUKABILIWA NA BAA LA NJAA Read More »

WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUFANYA VIPIMO VYA AFYA

Msimamizi wa kituo cha matibabu cha Kijanaheri eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi Daktari Shungu Mathole amewahimiza wenyeji kubadilisha mtindo wa maisha kwa kula vyakula ambavyo havitachangia kwa magonjwa kama ya Moyo. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu Shungu amesema watu wengi wamekuwa na hulka ya kula vyakula vilivyo na mafuta mengi

WENYEJI WA KAUNTI YA KILIFI WATAKIWA KUFANYA VIPIMO VYA AFYA Read More »