Kaunti

WANAHARAKATI TAITA TAVETA WASEMA WENYEJI HAWAFAHAMU MIPAKA YA MASHAMBA YAO

Wanaharakati wa masuala ya ardhi kaunti ya Taita Taveta wanasema kuna haja ya kutumia ardhi nchini ili kutoa ramani mbalimbali za ardhi kwenye kaunti hiyo ili wenyeji waweze kufahamu mipaka yao halisi. Wakiongozwa na Chris Mwambingu wanasema licha kuwa wenyeji wamekuwa wakikabidhiwa hati miliki zao, wengi wao hawajui mahali kwenye ardhi hizo ziko kwa madai […]

WANAHARAKATI TAITA TAVETA WASEMA WENYEJI HAWAFAHAMU MIPAKA YA MASHAMBA YAO Read More »

MFUMO WA ULIPAJI ADA WABADILISHWA KAUNTI YA MOMBASA

Serikali ya kaunti ya Mombasa imebadili mfumo wa ulipaji ada ya shilingi 1000 kila mwezi kwa wahudumu wa tuktuk kwenye kaunti hiyo. Mfumo huo unalenga kupunguza msongamano na kukabiliana na ufisadi miongoni mwa maafisa wa kaunti. Wahudumu hao wanaitaka serikali ya kaunti ya Mombasa kuwapa muda zaidi ili kuhamia katika mfumo huo wakisema hawakushirikishwa kikamilifu

MFUMO WA ULIPAJI ADA WABADILISHWA KAUNTI YA MOMBASA Read More »

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHARAKISHA UTOAJI WA MSAADA KWA WENYEJI WA TANA RIVER

Baadhi ya wawakilishi wa wadi kaunti ya Tana River wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo na ile ya kitaifa kuharakisha utoaji wa msaada kwa wenyeji ambao wanaendelea kuathirika kutokana na hali ya ukame na baa la njaa. Wawakilishi wa wadi hao Ismael Kodobo wa Hirimani, Mahmoud Ali wa wadi ya Sala na Maka Maimuna

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHARAKISHA UTOAJI WA MSAADA KWA WENYEJI WA TANA RIVER Read More »