Kaunti

GIDEON MUNG’ARO ALAUMIWA KWENYE UTEUZI WA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI

Mwakilishi wa wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi Thaura Mweni, anadai gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro alitumia upendeleo katika kuwateua mawaziri katika baraza lake la mawaziri. Mweni anadai eneo bunge la Ganze, lilitengwa na halikupata nafasi hata moja ya uwaziri, akidai waziri aliyeteuliwa kushikilia idara ya majanga Felkin Kaingu sio mkazi wa Ganze […]

GIDEON MUNG’ARO ALAUMIWA KWENYE UTEUZI WA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI Read More »

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA

Wadau wa soka nchini Kenya wanapozidi kususubiri ligi kurejea kwa hali shwari baada ya swala zima la marufuku ya FIFA kuondolewa na ujio wa waziri mpya wa michezo Ababu Namwamba kuanza rasmi kazi yake, sasa washikadau wa michezo mashinani wameazimia kuanzisha mafunzo ya makocha ili kuboresha sekta hiyo wakati wakisubiri hali nzuri kurejea. Akizungumza na

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA Read More »

JACINTA MBEYU ASEMA KUNA HAJA YA MILA NA TAMADUNI ZINAZOKANDAMIZA MTOTO WA KIKE KUTUPILIWA MBALI

Ipo haja ya baadhi ya mila na tamaduni zinazokandamiza maisha ya mtoto wa kike katika jamii kutupiliwa mbali. Haya ni kwa mujibu wa rais wa bunge la vijana kaunti ya Kilifi Jacinta Mbeyu Sanga, ambaye amesema baadhi ya watoto wa kike wamekosa kupata nafasi za kuboresha maisha yao, hasa katika masuala ya uongozi kutokana na

JACINTA MBEYU ASEMA KUNA HAJA YA MILA NA TAMADUNI ZINAZOKANDAMIZA MTOTO WA KIKE KUTUPILIWA MBALI Read More »