Kaunti

MERAB SHIBUYANGA AWAHIMIZA WAZAZI KAUNTI YA KILIFI KUWA KARIBU NA WATOTO WAO

Mwenyekiti wa masuala ya amani katika shirika la County Women Peace and Security kaunti ya Kilifi, Merab Shibuyanga amewahimiza wazazi kuhakikisha wanazungumza na watoto wao, kuhusiana na masuala ya ngono. Akizungumza na meza yetu ya habari, amesema wazazi wengi wangali wanafuata mila na tamaduni hali ambayo, inawafanya kutokuwa huru kuzungumzia suala hilo ili kuwaepusha na […]

MERAB SHIBUYANGA AWAHIMIZA WAZAZI KAUNTI YA KILIFI KUWA KARIBU NA WATOTO WAO Read More »

GEDION MUNG’ARO ATOA ILANI KWA MADAKTARI 15 KAUNTI YA KILIFI

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema kuna madaktari zaidi ya 15, ambao wameendelea kupokea mshahara licha ya wao kutokuwa kazini. Kwa mujubu wa gavana huyo madakatari hao wanadaiwa kuchukua likizo ya kuendeleza masomo yao kwa miaka mitatu, jambo ambalo anadai kutokuwa la kweli. Mung’aro amesema tayari madaktari hao wamepokea ilani ya kurudi

GEDION MUNG’ARO ATOA ILANI KWA MADAKTARI 15 KAUNTI YA KILIFI Read More »