Kaunti

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI

Viongozi wa soka la mashinani katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi wameonya vikali vilabu vilivyosajiliwa na shirikisho la soka la fkf kujishirikisha katika mashindano ya kiholela bila idhini kutoka ofisi zao. Viongozi hao wamehoji kwamba mashindano hayo yanaharibu soka la mashinnani kwa kufanyika bila mipangilio mizuri ambayo inaonekana kupelekea kudunisha soka la mashinani. […]

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI Read More »

BAA LA NJAA LAZIDI KUWAATHIRI WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE

Afisa wa idara ya watoto katika kaunti ya Kwale Zephaniah Apoko ametoa wito kwa wizara ya elimu kuhakikisha shule za umma kwenye kaunti hiyo zinaboresha mpango wa lishe kwa watoto shuleni. Apoko ameutaja mpango huo kuwa wenye manufaa kwani utasaidia wanafunzi kusalia shuleni bila kusitisha masomo yao kutokana na baa la njaa ambalo linaendelea kukabili

BAA LA NJAA LAZIDI KUWAATHIRI WANAFUNZI KAUNTI YA KWALE Read More »

KECOSCE YAWATAKA VIONGOZI WA DINI TANA RIVER KUENDELEA KUHAMASISHA WENYEJI UMUHIMU WA KUDUMISHA JAMII

Afisa katika shirika la kushughilikia amani na usalama katika jamii KECOSCE Maxwell Lumbasi, amewahimiza viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele kuwahimiza wenyeji wa Tana River kudumisha amani. Akizungumza katika mkutano uliowaleta pamoja washikadau mbalimbali wa masuala ya Amani kutoka mashinani, Lumbasi amesema dini inaweza kutumika kuwahamasisha wananchi umuhimu wa kudumisha kwa jamii. Aidha, amewapongeza viongozi

KECOSCE YAWATAKA VIONGOZI WA DINI TANA RIVER KUENDELEA KUHAMASISHA WENYEJI UMUHIMU WA KUDUMISHA JAMII Read More »