MRADI WA UTOAJI CHAKULA KWA SHULE ZA CHEKECHEA KUANZISHWA TANA RIVER
Afisa mkuu wa idara ya elimu katika serikali ya kaunti ya Tana River Fatuma Bona Gafo wataendeleza mradi wa utoaji chakula kwa shule za chekechea baada ya kukwama kwa muda tangu ujio wa janga la virusi vya Corona nchini. Bona amesema tayari sera zimebuniwa kwa elimu ya chekechea ambazo zitatoa muongozo bora katika shule hizo […]
MRADI WA UTOAJI CHAKULA KWA SHULE ZA CHEKECHEA KUANZISHWA TANA RIVER Read More »



