Kaunti

KUONDOLEWA KWA ADHABU YA KIBOKO SHULENI KUMECHANGIA KWA WATOTO KUPOTOKA KIMAADILI

Mwenyekiti wa wazee wa mitaa eneo la Timbwani kaunti ya Mombasa Aboud Athman Mohammed anasema watoto kutoka maeneo hayo wamepotoka kimaadili. Kulingana na Aboud hali hiyo imechangiwa na hatua ya kuondolewa kwa adhabu shuleni hasa ya kiboko kwani imewafanya watoto wengi kuwa wakaidi shuleni na hata nyumbani. Amesema imekuwa vigumu kuwaadhibu watoto kutokana na sheria […]

KUONDOLEWA KWA ADHABU YA KIBOKO SHULENI KUMECHANGIA KWA WATOTO KUPOTOKA KIMAADILI Read More »

WAFANYABIASHARA KWENYE SOKO LA KONGOWEA WANAZIDI KULALAMIKA

Mwenyekiti wa usalama katika soko la Kongowea kaunti ya Mombasa peter Nyaga amesema tangu gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassiri kutoa agizo kwa asasi za usalama kufanya uchunguzi dhidi ya wanaojihusisha na biashara haramu sokoni humo hakuna hatua zozote zimechukuliwa kufikia sasa. Nyaga amesema kuna biashara mbalimbali haramu ambazo zinafanywa sokoni humo kama uuzaji

WAFANYABIASHARA KWENYE SOKO LA KONGOWEA WANAZIDI KULALAMIKA Read More »

IDADI YA WANAONAWA MKONO KAUNTI YA TANA RIVER IKO CHINI

Mkurugenzi mtendaji katika sekta ya afya kaunti ya Kilifi Hassan Leli amesema uoshaji mikono kaunti ya Kilifi iko katika asilimia 69. Akizungumza na wanahabari kwenye shule ya msingi ya Chasimba iliyoko wadi ya Chasimba eneo bunge la Kilifi Kusini amesema kiwango hicho kiko chini na kuwahimiza wakaazi wa kaunti ya Kilifi kuchukua jukumu la kunawa

IDADI YA WANAONAWA MKONO KAUNTI YA TANA RIVER IKO CHINI Read More »