Kaunti

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA

Baadhi ya viongozi wa kamati la bunge la kaunti ya Kilifi wameanza mahojiano ya kuwapiga msasa walioteuliwa na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro kuhudumu kwa wizara mbalimbali kaunti ya Kilifi. Viongozi hao wanaongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Kilifi ambaye pia ni mwenyekiti Teddy Mwambire kwenye kikao cha kuwapiga msasa mawaziri […]

WALIOTEULIWA KUWA MAWAZIRI KAUNTI YA KILIFI WANAHOJIWA KWA SASA Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA GAVANA WA TAITA TAVETA KUZINGATIA MAONI YA WANANCHI

Mwakilishi wa wadi ya Mahoo eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta Daniel Kimuyu ametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuwahusisha wenyeji katika masuala ya mpangilio wa miradi, CIDP. Kimuyu ametoa wito kwa gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime kuhakikisha maon I ya wenyeji yanazingatiwa wakati wa utekelezaji wa mpango huo. Anadai kuwa

HIMIZO LATOLEWA KWA GAVANA WA TAITA TAVETA KUZINGATIA MAONI YA WANANCHI Read More »