Kaunti

BAA LA NJAA NA KIANGAZI KINAZIDI KUWAKABILI WENYEJI WA TAVETA

Naibu Kamishna wa kaunti ndogo ya Taveta kaunti ya Taita Taveta Joseph Mericho amewataka wenyeji wa Maeneo Ya Bomani, Chala Na Jipe kaunti ya Taita Taveta Kuwa Na Subira Serikali Inapojitahidi Kuwapelekea Chakula cha msaada kutokana na hali ya kiangazi na baa la njaa. Mericho amesema Maeneo Hayo Ndiyo ambayo Yameathirika Zaidi Na Kiangazi Katika […]

BAA LA NJAA NA KIANGAZI KINAZIDI KUWAKABILI WENYEJI WA TAVETA Read More »

BALOZI WA UJERUMANI AMEAHIDI USALAMA UTAIMARISHA KWENYE FUO ZA BAHARI PWANI

Balozi wa Ujerumani nchini Kenya Sebatian Groth amesema mikakati imewekwa ya kuimarisha usalama katika fuo za bahari na maeneo ya kitalii kanda ya pwani. Akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya polisi kaunti ya Mombasa amesema hawana hofu kuhusu usalama wa taifa hili na kuahidi kutakuwa na wageni kutoka Ujerumani ambao watazuru nchini Kenya. Kulingana

BALOZI WA UJERUMANI AMEAHIDI USALAMA UTAIMARISHA KWENYE FUO ZA BAHARI PWANI Read More »

WENYEJI WA TANA RIVER WATAKIWA KUTUMIA KILIMO KUNYUNYIZA MAJI KWA KUTUMIA KAWI YA JUA

Waziri wa kilimo katika serikali ya kaunti ya Tana River Pharis Buya amewataka wenyeji kuanza kutumia kilimo cha Kunyunyiza maji kwa kutumia kawi ya jua akisema mabadiliko ya hali ya anga yameathiri misimu wa kushuhudiwa mvua. Buya amesema imekuwa vigumu kutabiri mvua kwani kuna wakati zinachelewa au hata kukosa kushuhudiwa hali ambayo imekuwa ikichangia kushuhudiwa

WENYEJI WA TANA RIVER WATAKIWA KUTUMIA KILIMO KUNYUNYIZA MAJI KWA KUTUMIA KAWI YA JUA Read More »