Kaunti

WAHISANI NA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI WAOMBWA KUWASAIDIA WENYEJI WA GANZE

Mwenyekiti wa wazee wa Kaya Godoma eneo la Mrima wa Ndege kaunti ya Kilifi Emmanuel Katana ametoa wiro kwa Serikali ya Kitaifa na ile ya Kaunti ya kilifi pamoja na wahisani mbalimbali kujitokeza na kuwasaidia wakazi wa eneo bunge la Ganze ambao wanaendelea kukabiliwa na baa la njaa. Katana anasema eneo hilo linazidi kukabiliwa na

WAHISANI NA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI WAOMBWA KUWASAIDIA WENYEJI WA GANZE Read More »