Kaunti

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF

Viongozi wa soka la mashinani wanasema kwamba vijana wengi kwa sasa wanazidi kusajili timu zao kucheza ligi za mashinani jambo linalotajwa kuwa michezo hasa wa soka unazidi kupendwa na mashabiki lakini pia vijana. Akizungumza na tama la spoti katribu wa soka la eneo bunge la maghatrini mwote Emmanuel kazungu amesema kuwa kwa sasa kunako ligi […]

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF Read More »

MACRINA MWAMBURI ADAI WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAKABILIWA NA MIZOZO WA ARDHI

Mwenyekiti wa shirika la sauti ya wanawake kaunti ya Taita Taveta Marcrina Mwamburi, ameitaka serikali ya kaunti hiyo kuidhinisha mikakati ambayo itadhibiti mizozo ya ardhi, ambayo inaendelea kuongezeka. Amesema na ni lazima mizozo hiyo ipate mwafaka wa kudumu, ili kuwaepusha wenyeji dhidi ya kuzozania mashamba. Vilevile, amesema wenyeji wengi wa kaunti hiyo, hawana hati miliki

MACRINA MWAMBURI ADAI WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAKABILIWA NA MIZOZO WA ARDHI Read More »

AISHA JUMWA APIGWA MSASA

Aliyekuwa mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa amekanusha madai ya mauaji dhidi ya familia ya marehemu Ngumbao Jola, katika wadi ya Ganda eneo la Malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza jana mbele ya kamati ya uteuzi katika bunge la kitaifa, alipokuwa akipigwa msasa katika uteuzi wake wa uwaziri umma na jinsia, amesema baadhi ya

AISHA JUMWA APIGWA MSASA Read More »