KAMISHNA WA TAITA TAVETA ASEMA WANATARAJIA KUPOKEA MSAADA WA CHAKULA
Kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Loyford Kibaara amesema kuwa wanatarajia kuanza kupokea chakula cha msaada kutoka kwa serikali kuu. Amesema chakula hicho kitakabidhiwa wale ambao wameathirika na baa la njaa katika kaunti hiyo. Akizungumza katika kaunti hiyo amezitaka kamati ambazo zitashughulikia ugavi wa chakula hicho kukakikisha kinapewa walengwa bila kumbagua yeyote. Aidha, amesema viongozi […]
KAMISHNA WA TAITA TAVETA ASEMA WANATARAJIA KUPOKEA MSAADA WA CHAKULA Read More »



