Kaunti

MAAFISA WANNE WA SSU WANAENDELEA KUZUILIWA KATIKA IDARA YA DCI

Maafisa wanne wa polisi waliokuwa chini ya Kitengo Maalum cha Huduma (SSU), ambacho pia kilivunjiliwa mbali na Rais William Ruto katika afisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), bado wanaendelea kuzuiliwa na polisi katika vituo mbalimbali vya polisi jijini Nairobi wakitarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo. Wanne hao ambao ni pamoja na Inspekta

MAAFISA WANNE WA SSU WANAENDELEA KUZUILIWA KATIKA IDARA YA DCI Read More »

RAIS RUTO ASEMA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA KALONZO MUSYOKO

Rais William Ruto amesema kuwa yuko tayari kufanya kazi na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka kwa manufaa ya wenyeji wa ukambani ila Kalonzo mwenyewe hajaonyesha nia ya kukubaliana na hatua ya kushirikiana na serikali. Akizungumza hapo jana katika ibada ya shukrani kwenye kanisa la AIC kaunti ya Kitui, rais Ruto amesema kuwa alichukua hatua ya

RAIS RUTO ASEMA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA KALONZO MUSYOKO Read More »