BOSUSTER YAUGULIA KICHAPO PRISON DHIDI YA ZAMALEC, MKUFUNZI JEFFA AKISIFU WAPINZANI
Vilabu vya mashinani vya soka vinazidi kujitayarisha kwa msimu mpya wa mwaka 2022/2023 na mechi za kirafiki zinazidi kurindimwa. Wikendi hii vijana wa Pwani Fc waisafiri hadi mjini malindi kuvaana na Furunzi fc inaoongozwa na mkufunzi Nero Chishenga mtanange ilotamatika kwa sare ya bao 1-1. Katika uwanja wa Prison eneo bunge la malindi kaunti ya […]
BOSUSTER YAUGULIA KICHAPO PRISON DHIDI YA ZAMALEC, MKUFUNZI JEFFA AKISIFU WAPINZANI Read More »



