Kaunti

SHEKHUNA ABBAS AWAONYA WATOTO WANAORANDARANDA OVYO KISIWANI AMU

Mwakilishi wa wadi ya Mkomani kaunti ya Lamu Shekhuna Abbas amewaonywa wanafunzi kisiwani Amu dhidi ya kuzurura ovyo nyakati za usiku. Akizungumza katika kaunti hiyo Abbas amewataka kusalia majumbaNI na kuendela kusoma ili wafanye vyema kwenye masomo yao na kusema watakaopatikana wakirandaranda kisiwani humo watakabiliwa kwa mujibu wa sheria. Vilevile, amewahimiza wazazi kuhakikisha wanajukumika vilivyo

SHEKHUNA ABBAS AWAONYA WATOTO WANAORANDARANDA OVYO KISIWANI AMU Read More »

KAMISHNA WA TAITA TAVETA KUANDAA MAZUNGUMZO NA IDARA YA KWS

Kamishna wa kaunti ya Taita Taveta Loyford Kibara amesema idara ya usalama kwenye kaunti hiyo itafanya mazungumzo na ile ya KWS ili kuwanusuru mifugo wa wenyeji msimu huu wa kiangazi. Amesema wanapania hivi karibuni kufanya mazungumzo hayo na mkurugenzi mkuu wa KWS ili kuona kuwa wafugaji katika kaunti hiyo wanaruhusiwa kulisha mbugani. Kamishna huyo amesema

KAMISHNA WA TAITA TAVETA KUANDAA MAZUNGUMZO NA IDARA YA KWS Read More »