MUUNGANO WA MABAHARIA WAKONGWE KAUNTI YA MOMBASA WALALAMIKA
Muungano wa mabaharia wakongwe kaunti ya Mombasa unapendekeza kuwe na mabadailiko ili kuboresha sekta hiyo. Kulingana na Mabaharia hao kipengee cha ubaharia kinapaswa kufanyiwa mabadiliko wakidai licha ya kuwa na tajriba ya zaidi ya miaka 15 wengi wao wamesalia bila ajira. Wanasema iwapo mageuzi hayo yatafanywa itakuwa afueni kwao kwani baadhi yao wanaendelea kuhangaika kutokana […]
MUUNGANO WA MABAHARIA WAKONGWE KAUNTI YA MOMBASA WALALAMIKA Read More »



