DAN MWASHAKO ASEMA BAADHI YA MAWAZIRI WATEULE HAWANA TAJRIBA YA KUTOSHA
Mbunge wa Wundanyi kaunti ya Taita Taveta Dan Mwashako amesema baadhi ya mawaziri wateule waliohojiwa na kamati ya uteuzi katika bunge la kitaifa baada ya kupendekezwa na rais William Samoei Ruto hawakuwa na tajriba ya kutosha kama inavyopaswa kulingana nafasi hizo za uwaziri. Mwashako amesema ni lazima anayeteuliwa kuwa waziri awe na ufahamu wa kina […]
DAN MWASHAKO ASEMA BAADHI YA MAWAZIRI WATEULE HAWANA TAJRIBA YA KUTOSHA Read More »



