Kaunti

GAVANA MUNG’ARO ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA KAUNTI ZA PWANI

Kuna haja ya magavana ukanda wa pwani kudumisha ushirikiano miongoni mwao kwa minajili ya kuimarisha hadhi ya eneo hili la pwani. Haya ni kwa mujibu wa gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro ambaye amesema ukosefu wa ushirikiano miongoni mwa viongozi waliotangulia katika ukanda wa pwani umechochea eneo la pwani kusalia nyuma kimaendeleo. Akizungumza

GAVANA MUNG’ARO ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA KAUNTI ZA PWANI Read More »