ASKARI 100 WA NPR KUONGEZWA KAUNTI YA LAMU
Waziri wa usalama wa ndani Prof. Kithure Kindiki ametangaza kubadili mfumo wa oparesheni ya kukabili wahalifu katika kaunti ya Lamu. Kindiki aliyezuru eneo hilo jana ambalo lililoshuhudia mashambulizi kadhaa majuma yaliyopita ameamuru kuajiriwa kwa askari 100 wa akiba NPR watakaokabidhiwa bunduki kudumisha usalama. Ujio wa Kindiki katika kaunti hiyo unajiri baada ya mashambulizi kadhaa yaliyosababisha […]
ASKARI 100 WA NPR KUONGEZWA KAUNTI YA LAMU Read More »



