Kaunti

BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER LA TENGA MGAO WA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA.

Jumla ya shilingi milioni hamsini zimetengwa na serikali ya kaunti ya Tana River, ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga. Akizungumza na wananchi katika eneo hilo, afisa wa mazimgira George Kasi ameelezea kuwa hatua hiyo imejiri baada ya bunge hilo, kuidhinisha sheria itakayo tumika katika kutekeleza suala hilo. Amesema kuwa uongozi wa […]

BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER LA TENGA MGAO WA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA. Read More »

SHULE YA MSINGI YA BANDACHO ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI YAANDIKISHA MATOKEO BORA ZAIDI YA KCPE.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Bandacho kaunti ndogo ya Magarini kaunti hii ya Kilifi, Constance Kanze ameeleza furaha yake baada ya shule hiyo, kuandikisha matokeo bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE. Katika mazungumzo ya kipekee na meza yetu ya habari, mwalimu huyo amesema kuwa jumla ya wanafunzi 17, walipata alama 400 na

SHULE YA MSINGI YA BANDACHO ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI YAANDIKISHA MATOKEO BORA ZAIDI YA KCPE. Read More »

WATU WATATU WAAGA DUNIA KWENYE AJALI YA BARABARANI ENEO LA CHUMANI KAUNTI YA KILIFI.

Kamanda wa polisi Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Jonathan Koech amewataka madereva kuwa waangalifu zaidi wakati huu wa sherehe za disemba ili kuepuka ajali za barabarani. Koech pia amesisitizia wachukuzi wa umma kuhakikisha kuwa wanadumisha usalama wa abiria wao badala ya kuendekeza utovu wa nidhamu barabarani. Kauli ya Koech imejiri baada ya watu watatu kuhusika

WATU WATATU WAAGA DUNIA KWENYE AJALI YA BARABARANI ENEO LA CHUMANI KAUNTI YA KILIFI. Read More »