Kaunti

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA BARABARA ENEO LA RAMADA – KAOYENI

Mwanaharakati wa kimaendeleo katika wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Jonathan Katana ametoa wito kwa serikali ya Kaunti ya Kilifi, kukamilisha mradi wa maji eneo la Ramada – Kaoyeni kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa mwanaharakati huyo ni kuwa ukosefu wa maji katika eneo hilo, umeendelea kuathiri shughuli za masomo katika […]

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATAKIWA KUKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA BARABARA ENEO LA RAMADA – KAOYENI Read More »

MAAFISA WA KWS NA WENYEJI WA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUKABILIANA NA UHASAMA WA MARA KWA MARA

Wito wa ushirikiano umetolewa baina ya maafisa wa shirika la huduma kwa wanyamapori KWS na wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta kwa minajili ya kukabiliana na uhasama wa mara kwa mara kati ya wakaazi na wanyamapori. Kwa mujibu wa wakaazi wa maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo wakiwemo wale wa Kishushe, kaunti ndogo ya Wundanyi wamesema

MAAFISA WA KWS NA WENYEJI WA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUKABILIANA NA UHASAMA WA MARA KWA MARA Read More »