Kaunti

ATWAA SALIM MOHAMED ASHINDA KIPUTE CHA UWAKILISHI WA WADI YA SHELLA

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kaunti ya Lamu kupitia afisa wa IEBC eneo bunge la Lamu Magharibi Isaiah Saha imemtangaza Atwaa Salim Mohamed wa chama cha ODM kuwa mshindi kwenye kipute cha uchaguzi mdogo cha kuwania wadhifa wa uwakilishi wa wadi ya Shella Kisiwani Amu kaunti ya Lamu. Kufikia jana saa nne […]

ATWAA SALIM MOHAMED ASHINDA KIPUTE CHA UWAKILISHI WA WADI YA SHELLA Read More »

MKUFUNZI RIMBA WA BOSUSTER APONGEZA FKF KWA MIPANGO MIZURI YA LIGI YA MSIMU UJAO

Mkufunzi wa Bosuster fc klabu ambayo inashikilia ubingwa wa shindano la soka la Haki Yetu eneo bunge la Magarini Kaunti ya Kilifi bwana Kenedy Rimba anasema kikosi chake kiko imara kwa msimu ujao wa ligi ya magarini msimu wa 2022/2023 msimu ambayo unatarajiwa kuanza rasmi majuma mawili yajayo. Rimba ambaye vijana wake wametinga fainali za

MKUFUNZI RIMBA WA BOSUSTER APONGEZA FKF KWA MIPANGO MIZURI YA LIGI YA MSIMU UJAO Read More »

OUSMAN GALOLE AITAKA BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER KUFANYIA MAREKEBISHO MUSWADA WA GOVERNORS SCHOLARSHIP

Spika wa bunge la kaunti ya Tana River Ousman Galole ametoa wito kwa bunge la kaunti hiyo kufanyia marekebisho muswada wa GOVERNORS SCHOLARSHIP unaolenga kuwafadhili wanafunzi ambao wanatoka kwenye familia ambazo hazina uwezo wa kifedha. Katika taarifa yake kwa wenyeji akiwa kwenye kaunti hiyo ya Tana River, amesema bunge la kaunti ya Tana River linafaa

OUSMAN GALOLE AITAKA BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER KUFANYIA MAREKEBISHO MUSWADA WA GOVERNORS SCHOLARSHIP Read More »