MBUNGE WA LAMU MAGHARIBI AITAKA SERIKALI KUU KUBORESHA NA KUZIKARABATI BARABARA
Mbunge wa Lamu Magharibi kaunti ya Lamu Stanley Muthama ameitaka serikali kuu kuimarisha na kuzikarabati barabara ambazo zinaelekea kwenye sehemu ambazo zinakabiliwa na changamoto za kiusalama katika maeneo ya Witu na Mpeketoni kwenye kaunti hiyo. Muthama amesema barabara ambayo inaunganisha maeneo ya Kakati – Maleli – Katsakairu – Pandanguo ni miongoni mwa zile ambazo ziko […]
MBUNGE WA LAMU MAGHARIBI AITAKA SERIKALI KUU KUBORESHA NA KUZIKARABATI BARABARA Read More »



