Kaunti

SHILINGI MILIONI 5 ZATENGWA KATIKA BAJETI YA ZIADA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI

Jumla ya shilingi milioni 5 zimetengwa katika bajeti ya ziada kwenye bunge la kaunti ya Kilifi, ili kufadhili masomo ya wanafunzi katika wadi mbalimbali za kaunti ya Kilifi. Haya ni kulingana na mwakilishi wa wadi ya Ganda eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, Oscar Wanje ambaye amesema ugavi wa fedha hizo kwa wanafunzi wenye […]

SHILINGI MILIONI 5 ZATENGWA KATIKA BAJETI YA ZIADA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI Read More »

TUKO TAYARI KWA DABI YA MALINDI – BERNARD LUSI

Klabu ya Progressive Academy inazidisha mazoezi yake kujiimarisha kwa mechi ya wikendi ambapo watakuwa wanavaana na mahasimu wao Young Bulls katika dadi ya kaunti ya Kilifi ambayo imeratibiwa kurindimwa siku ya jumapili katika dimba la shule ya upili ya wavulana ya Malindi. Akizungumza na Tama la spoti mapema leo baada ya mazoezi uwanjani Alaskan Bernard

TUKO TAYARI KWA DABI YA MALINDI – BERNARD LUSI Read More »

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YATAKIWA KUINGILIA KUWAKABILI VIJANA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU KAUNTI YA KWALE

Baraza la madhehebu mbalimbali katika kaunti ya Kwale limetoa wito kwa wizara ya usalama wa ndani kulishughulikia suala la visa vya uhalifu ambavyo vinaendelea kutekelezwa na vijana wenye umri mdogo eneo hilo. Likiongozwa na Hamisi Mwachirumu wanasema hali hiyo imechangia kwa wenyeji kuishi kwa hofu. Vilevile, amesema visa hivyo vya uhalifu vimeathiri shuguli za kibiashara

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YATAKIWA KUINGILIA KUWAKABILI VIJANA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU KAUNTI YA KWALE Read More »