GAVANA MUNG’ARO ASEMA ATASHIRIKIANA NA SERIKALI KUU KUIMARISH SEKTA YA UVUVI
Serikali ya kaunti ya Kilifi itaendelea kushirikiana na serikali ya kitaifa ili kuinua sekta ya uvuvi na uchumi wa raslimali za baharini kwa kuanzisha na kuendeleza miradi itakayosaidia kuboresha maisha ya wakaazi. Haya ni kulingana na Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro ambaye amesema kuwa ujenzi wa makao makuu ya sekta hizo utafanyika katika […]
GAVANA MUNG’ARO ASEMA ATASHIRIKIANA NA SERIKALI KUU KUIMARISH SEKTA YA UVUVI Read More »



