WATALII ZAIDI WANATARAJIWA KUZURU KENYA
Idadi ya watalii wanaozuru taifa la Kenya inaendelea kuongezeka. Hii n baada ya meli yenye watalii 620 kutoka mataifa ya nje kutia nanga katika bandari ya Mombasa. Meli hiyo imepokelewa na katibu katika wizara ya utalii nchini John Olultuaa ambaye amesema hiyo ni meli ya tatu kuwasili ikiwa na watalii baada ya meli ya kwanza […]
WATALII ZAIDI WANATARAJIWA KUZURU KENYA Read More »



