TUTASHINDA DABI YA KILIFI – PETER MOLE
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Beach Bay Peter Mole anasema kwamba ana matumaini makubwa ya kushinda dabi ya kaunti ya Kilifi ya wikendi ijayo vijana wake watakapokuwa wanashuka dimbani dhidi ya Furunzi FC ugenini katika dimba la Alaskan. Licha ya kuwa na msururu wa matokeo mabaya msimu huu wa mwaka 2022/2023, Peter Mole amesema kwamba […]
TUTASHINDA DABI YA KILIFI – PETER MOLE Read More »



