Kaunti

HARAKATI ZA KUHAMISHA KICHINJIO CHA MALINDI ZINAENDELEZWA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inaendeleza mpango wa kuhamisha sehemu ya kichinjio  mjini Malindi, kutokana na hatua ya wanajamii eneo hilo kulalamikia uharibifu wa mazingira katika sehemu hiyo. Kwa mujibu wa baadhi ya viongozi katika eneo bunge la Malindi wamepongeza hatua hiyo huku wakipendekeza sehemu hiyo, sasa kukabidhiwa rasmi wafanyabiashara wa Juakali, ili kuwapa nafasi […]

HARAKATI ZA KUHAMISHA KICHINJIO CHA MALINDI ZINAENDELEZWA Read More »

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kujenga kiwanja cha kimataifa kama njia moja ya kuwezesha talanta na michezo mashinani. Naibu gavana wa kaunti hii Florence Chibule akiwa katika mahojiano na mwanahabari wetu hapa Lulu Fm amethibitisha kwamba serikali inayoongozwa na gavana Gideon Maitha Mungaro inalenga kuanza mradi wa ujenzi wa kiwanja cha kisasa kama njia

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA Read More »

BAADHI YA MABAHARIA ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WAENDELELEA KUHANGAIKA

Licha ya jamii eneo la Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi kuchangia pakubwa katika upatikanaji wa ushuru wa kitaifa kupitia kwa raslimali za baharini, baadhi ya mabaharia eneo hilo la Shella wameendelea kupitia changamoto nyingi katika maisha yao. Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi wa wadi ya Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Twahir Abdulkarim

BAADHI YA MABAHARIA ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WAENDELELEA KUHANGAIKA Read More »