RIPOTI YA WIZARA YA AFYA YAONYESHA IDADI YA VIFO VYA WATOTO KABLA YA KUZALIWA NA BAADA YA KUZALIWA VIMEPUNGUA KILIFI
Idadi ya vifo vya Watoto kabla ya kuzaliwa na hata baada ya kuzaliwa katika kaunti ya Kilifi vimeripotiwa kupungua kwa asilimia kubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Haya ni kulingana na ripoti ya utafiti wa serikali kuu kupitia idara ya afya nchini ambayo imebainisha kupungua kwa visa hivyo kutokana na juhudi za akina mama hao […]



