Kaunti

NAIBU GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI AWAPONGEZA WALIMU AMBAO WANAFUNZI WAO WALIFANYA VYEMA KWENYE MITIHANI YA KITAIFA

Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Flora Chibule amepongeza hatua ya mbunge wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi kuandaa hafla ya kuwazawadi walimu bora baada ya wanafunzi wao kufanya vyema kwenye mitihani ya KCPE na KCSE katika shule za msingi na upili zilizopo eneo bunge la Malindi. Akizungumza katika hafla hiyo […]

NAIBU GAVANA WA KAUNTI YA KILIFI AWAPONGEZA WALIMU AMBAO WANAFUNZI WAO WALIFANYA VYEMA KWENYE MITIHANI YA KITAIFA Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUENDELEZA SHUGHULI ZA KUPANGA MIJI YA KAUNTI HIYO

Gavana wa kaunti ya Lamu, Issaa Timamy amesema wanaendeleza shughuli za kupanga upya miji ya kaunti ya Kaunti ya Lamu. Kiongozi huyo amesema kwa sasa wapo maafisa ambao wanazunguka mashinani, ili kufanya vikao vya wananchi kutoa maoni yao kuhusiana na mipangilio ya serikali ya kaunti hiyo. Gavana huyo amesema kuwa mji wa lamu utakuwa na

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUENDELEZA SHUGHULI ZA KUPANGA MIJI YA KAUNTI HIYO Read More »

IDARA YA USALAMA KAUNTI YA TANA RIVER YATAKIWA KUTUMIA NJIA YA MAZUNGUMZO KUSULUHISHA MIZOZO

Idara ya usalama katika kaunti ya Tana River imetakiwa kutumia njia ya mazungumzo katika kuleta suluhu la mizozo, iliyoko katika kaunti hiyo na kupata suluhu la kudumu. Kwa mujibu wa gavana wa kaunti hiyo Dhado Godana zipo njia nyingi za wananchi kusuluhisha matatizo yanayowakabili, kando na kuwakamata vijana wanaokisiwa kuhusika katika vita kwenye jamii. Akizungumza

IDARA YA USALAMA KAUNTI YA TANA RIVER YATAKIWA KUTUMIA NJIA YA MAZUNGUMZO KUSULUHISHA MIZOZO Read More »