FURUNZI FC YALALAMIKA MAONEVU YA MAREFA LIGINI
Mkufunzi wa klabu ya Furunzi FC Nero Chishenga amelalamikia maamuzi mabaya ya refa wa mechi ya jana ya vijana wake walipokuwa wanashuka dimbani dhidi ya klabu ya Ashton Rangers katika uwanja wa Prison eneo bunge la Malindi. Kulingana na Nero ni kwamba refa wa mechi hiyo aliwanyima penalty mbili za wazi maamuzi yalopelekea vijana wake […]
FURUNZI FC YALALAMIKA MAONEVU YA MAREFA LIGINI Read More »



