TIMO WERNER KUKOSA KOMBE LA DUNIA
Fowadi wa zamani wa klabu ya Chelsea Timo Werner ambaye sasa anachezea klabu ya Rb Leipzig atakosekana katika mashindano ya kombe la dunia mwaka huu yatakayofanyika nchini Qatar tarehe 20 mwezi November 2022. Timo Werner mwenye umri wa miaka 26 atakosekana kwenye kipute cha mwaka huu baada ya kupata jeraha la mguu na klabu yake […]
TIMO WERNER KUKOSA KOMBE LA DUNIA Read More »



